Sababu za wapiga kura Marekani kuamua Rais wanayemtaka na wengine wakitafakari

  • | VOA Swahili
    40 views
    Baadhi ya Wamarekani tayari wamefanya maamuzi kuhusu rais wanayemtaka huku upigaji kura wa mapema ukiwa unaendelea katika majimbo mengi. Lakini kuna wapiga kura waliobaki ambao wanasema hawajaamua kati ya Kamala Harris na Donald Trump. Ungana na wachambuzi wa siasa za Marekani wakikupa sababu inayofanya kuwepo makundi hayo mawili... #uchaguzimarekani2024 #wapigakura #Wamarekani #warepublikan #wademokratiki #voa #voaswahili