Safari ya Afrika: Wasafiri wa Argentina wawasili nchini

  • | KBC Video
    35 views

    Watalii kutoka Argentina wanaoshiriki safari ya bara Afrika wamewasili humu nchini. Wakitumia magari maarufu aina ya Citroën 3CV, watalii hao wana azma ya kukamilisha safari ya kilomita 10,000 barani Afrika ili kuadhimisha mafanikio ya mhandisi na mwanabiashara wa viwanda André Citroën.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive