Safari ya George Chege: Miaka Nane ya Kupambana na Kifua Kikuu

  • | K24 Video
    28 views

    Leo, ikiwa siku ya kuadhimisa ugonjwa wa kifua kikuu ulimwenguni, George Chege, ambaye amekuwa akipigana na kifua kikuu cha mapafu kwa miaka minane iliyopita aalimsimulia mwandishi wa maswala ya afaya changamoto anazokubana nayo katika makala ya wiki hii ya siha yangu .