Safari Za Kuelekea Vijijini Zanoga; Wakenya Waibua Hisia Mseto Kuhusu Sherehe Za Krismasi

  • | TV 47
    47 views

    Safari Za Kuelekea Vijijini Zanoga; Wakenya Waibua Hisia Mseto Kuhusu Sherehe Za Krismasi

    Shamrashamra za sikukuu ya Krisimasi zimeteka anga jijini Nairobi, wakenya wengi wakisafiri kuelekea vijijini kuungana na familia zao.

    Hata hivyo wakenya wengi wamelalamikia kuchelewa na kujikokota kwa magari wanayohitaji kusafiri .

    #TV47Wikendi #Events2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __