Sakaja: Tutaboresha na kulipatia jiji la Nairobi sura mpya

  • | KBC Video
    31 views

    Gavana wa kaunti ya Nairobi,Johnson Sakaja,ametangaza mpango wa kuimarisha eneo la kati kati mwa jiji.Tangazo hilo lilitolewa wakati wa mkutano wa ukaguzi wa hesabu za pesa kati ya gavana na wawakilishi kutoka ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za matumizi ya pesa.Sakaja alisema kuna mpango makhususi wa kuimarisha eneo la kati kati mwa jiji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive