Samburu yanunua gari la kuzima moto

  • | Citizen TV
    610 views

    Serikali ya kaunti ya Samburu imenunua gari la kuzima moto katika mji wa mraral. Kwa kipindi kirefu mji huo haukuwa na gari la kuzima moto