Skip to main content
Skip to main content

Samia Suluhu akemea maandamano yaliyofanyika Tanzania

  • | BBC Swahili
    25,166 views
    Duration: 1:08
    “Matukio yakiyofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza , Mbeya na Msongwe hayakuwa ya kiungwana wala ya kizalendo. - Uzalendo ni kujenga nchi wala si kubomoa.” -Rais Mteule wa Tanzania Samia Suluhu Hassan punde baada ya kupokea cheti chake cha ushindi huko Dodoma. - Hii ndio mara ya kwanza kwa Rais Samia kuonekana hadharani tangu siku ya uchaguzi yalipotibuka maandamano ya vijana. - - #tanzania #uchaguzi2025 #maandamano #bbcswahili #foryou #samiasuluhuhassanSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw