Sanamu mbovu za wanariadha jijini Eldoret ziliondolewa

  • | Citizen TV
    630 views

    Hisia nyingi zilishamiri kufuatia sanamu zilizokuwa zimewekwa mjini Eldoret kuashiria wanariadha tajika nchini, na kwa mara ya kwanza sasa, gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii amezungumzia sanamu hizo. Gavana Bii akisema japo msanii aliyezichonga alikuwa wa kujitolea, hata yeye hajaona sanamu za kutisha kama hizo.