Sang awaonya wahusika kwenye sakata ya wafanyikazi ghushi waliopigwa kalamau watabeba misalaba yao

  • | NTV Video
    108 views

    Gavana wa kaunti ya Nandi, Stephen Sang alikuwa amewaonya wahusika wote kwenye sakata ya wafanyikazi ghushi waliopigwa kalamu katika kaunti hiyo kuwa watabeba misalaba yao wenyewe.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya