Sarakasi baada ya Wakenya kuvamia jumba la Afya kulalamikia changamoto za SHA

  • | KBC Video
    33 views

    Hospitali ya kitaifa ya Kenyatta imelaumu kile ambacho wasimamizi wanakitaja kuwa matatizo ya kimitambo iliyokumba hospitali hiyo ndiposa ikashindwa kuwahudumia baadhi ya wagonjwa. Kioja kilizuka katika makao makuu ya wizara ya afya wakati baadhi ya wakenya walipoyavamia wakilalamikia changamoto za halmashauri ya SHA katika kupokea matibabu katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive