Saratani miongoni mwa watoto yaongezeka

  • | KBC Video
    5 views

    Takwimu za hivi punde zinaashiria kuwa takribani watoto elf-3 wanaozaliwa humu nchini kila mwaka wamegunduliwa kuwa na maradhi ya saratani na kwamba kuna visa zaidi vya saratani ambavyo havijaripotiwa. Sasa ipo haja ya kushughulikia tatizo la ugonjwa wa saratani miongoni mwa watoto humu nchini. Kwa mujibu wa Dr Robert Nyarango ambaye ni afisa mkuu mtendaji wa hospitali ya Gertrude’s Children, vita dhidi ya ugonjwa wa saratani miongoni mwa watoto vinapasa kuanzia utotoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive