Uchunguzi wa saratani ya mlango wa uzazi bado ni duni nchini Kenya

  • | K24 Video
    88 views

    Saratani ni sababu ya tatu kuu ya vifo nchini Kenya.Vifo vingi vinavyosababishwa na saratani ya mlango wa uzazi vinaweza kuepukika. Ingawa saratani hiyo inaweza kuzuilika, upokeaji wa chanjo ya HPV na uchunguzi wa saratani ya mlango wa uzazi bado ni duni nchini Kenya.