"Saratani si hukumu ya kifo"

  • | BBC Swahili
    1,167 views
    Ugonjwa wa saratani ni miongoni mwa magonjwa yanayotajwa kuleta madhara makubwa kiafya na hata kifo kwa walio wengi duniani. - Annah Kilawe akiwa na umri wa miaka 17, alipata maradhi ya saratani inayotajwa kuwa nadra kutokea ambayo inayoshambulia tishu laini za mwili ijulikanayo kama Rhabdomyosarcoma. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw