Saudi Arabia yasema idadi ya vifo kipindi cha hija yafikia 1,301
Idadi ya vifo katika hija ya mwaka 2024 ni watu 1,301, waziri wa afya wa Saudi Arabia Fahad Al-Jalajel alisema Jumapili (Juni 23).
Waziri huyo, alinukuliwa na kituo cha televisheni cha taifa, akisema kuwa vifo hivyo vilisababishwa na mahujaji “kutembea mwendo mrefu katika jua bila kuwa na kivuli na mapumziko ya kutosha”.
Vifo hivyo ni pamoja na idadi ya watu wazee na wale wanaosumbuliwa na maradhi sungu. Kiasi cha asilimia 83 cha vifo hivyo vilikuwa kati ya wale waliokuwa hawajaruhusiwa kuhiji, alisema. - Reuters
#saudiarabia #vifo #hija #mahujaji #waziri #afya #fahadaljalajel #joto
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis
23 Apr 2025
- Over 19,000 documents uncollected as CS Ruku vows to streamline Huduma Centres
23 Apr 2025
- Kenya to miss papal conclave as Cardinal Njue exceeds voting age limit of 80 years