Sekta ya uchukuzi yatakiwa kuzingatia mahitaji ya walemavu

  • | Citizen TV
    118 views

    Siku chache kabla ya ulimwengu kaudhimishwa siku ya watu wenye ulemavu, ripoti ya shirika lisililo la serikali la FLONE INITIATIVE imeonyesha kuwa walemavu kaunti ya makueni wanapitia hali ngumu kwenye sekta ya usafiri. Ripoti hiyo imependekeza sekta hiyo ilainishwe kwa kuzingatia vigezo vinavyowajali wenye ulemavu.