Seneta aibuka na samaki bungeni

  • | BBC Swahili
    4,440 views
    Seneta wa Australia amewashangaza wanasiasa wenzake kwa kutoa samaki aliyekufa bungeni. Sarah Hanson-Young kutoka chama cha Greens alitumia samaki huyo kama ishara ya kupinga mswada uliokuwa ukijadiliwa. - Waziri Mkuu Anthony Albanese wa chama cha Labor anasema mswada huo umelenga kulinda ajira katika sekta ya ufugaji wa samaki lakini pia ungelinda mazingira. - Wanammazingira wanasema kuwa sekta hiyo inahatarisha spishi za samaki wa asili. - - #bbcswahili #mazingira #samaki #bungee #australia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw