Seneta Godfrey Osotsi atetea kujumuishwa kwa chama cha ODM serikalini

  • | Citizen TV
    1,756 views

    Seneta wa Vihiga ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa chama cha ODM Godfrey Osotsi amesema chama hicho kitahakikisha kimepata asilimia thelathini ya uongozi kwa eneo la magharibi kutoka serikali kuu.