Seneta Omtatah adai serikali inahusika na sakata ya mafuta ya shilingi bilioni 17

  • | K24 Video
    305 views

    Seneta wa Busia Okiya Omtatah sasa anadai serikali ilifadhili mfanyibiashara anne njeri njoroge katika sakata ya ununuzi wa mafuta ya shilingi bilioni 17. Omutata anadai serikali kupitia wizara ya fedha ilimfadhili mfanyibiashara huyo ambaye sasa anatumika kama kisingizio. Seneta huyo pia anadai bunge la taifa lilitumika katika sakata hiyo kwa kuidhinisha bajeti ya ziada ya shilingi bilioni 63 bila kuikagua.