Seneta wa Australia atoa samaki aliyekufa bungeni.

  • | BBC Swahili
    4 views
    Seneta wa Australia amewashangaza wanasiasa wenzake kwa kutoa samaki aliyekufa bungeni. Sarah Hanson-Young kutoka chama cha Greens alitumia samaki huyo kama ishara ya kupinga mswada uliokuwa ukijadiliwa. Waziri Mkuu Anthony Albanese wa chama cha Labor anasema mswada huo umelenga kulinda ajira katika sekta ya ufugaji wa samaki lakini pia ungelinda mazingira. Wanammazingira wanasema kuwa sekta hiyo inahatarisha spishi za samaki wa asili. #bbcswahili #mazingira #samaki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw