Seneti itajadili hoja ya kumbandua Gachagua baada ya Gachagua kujitetea

  • | Citizen TV
    10,819 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua hii leo atatoa ushahidi wake kuhusiana na tuhuma 11 zilizowasilishwa dhidi yake. Gachagua ameashiria kuwa hatawaita mashahidi wowote kwenye kesi hiyo. Gachagua atatoa ushahidi wake alasiri baada ya bunge la kitaifa kukamilisha orodha ya mashahidi wake. Wanahabari wetu Stephen Letoo, Emmanuel too na melita ole tenges wako katika majengo ya seneti ambapo wanafuatilia matukio kwa kina. Tunaungana nao mubashara kutuchabulia yaliyojiri na yanayosubiriwa hii leo.