Serikali imeanza kufanya mabadiliko ya idara za serikali

  • | Citizen TV
    2,010 views

    Serikali tayari imeanza kutekeleza mabadiliko kwenye baadhi ya mashirika ya umma yaliyoagizwa kufungwa, siku moja baada ya baraza la mawaziri kuidhinisha kufungwa au kupunguzwa kwa mashirika haya. Miongoni mwa wafanyakazi waliohamishwa ni wale wa mashirika kadhaa yaliyo chini ya wizara ya mazingira