Serikali imejitetea kwa shughuli ya kupanda miti msimu huu wa kiangazi

  • | TV 47
    16 views

    Serikali imejitetea kwa shughuli ya kupanda miti msimu huu wa kiangazi.

    Shughuli hii iliongozwa na Wizara ya Afrika Mashariki na maeneo kame.

    Maafisa wa wizara hili wamesema kuwa watainyunyizia maji miti hiyo.

    Aidha wamedai kuwa miti hiyo ni ya kienyeji na itaweza kustahimili kiangazi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __