Serikali imeshauriwa kutathmini madeni ya viwanda vya kusaga sukari kabla ya ufufuzi

  • | West TV
    68 views
    Katika juhudi za kufufua tena kilimo cha miwa nchini, mkutano ulioandaliwa kuwaleta pamoja washikadau wa sekta hiyo eneo la ukanda wa ziwa umependekeza serikali kutahmini kwa kina madeni yanayodaiwa kampuni za umma za kusaga sukari eneo hili na kuyalipa madeni hayo kikamilifu, kurejeshwa kwa sugar development fund kando na kuwahusisha wakulima kwa masuala tata yanayohusu sekta hiyo kabla ya kufanya maamuzi yoyote