Serikali imesitisha uajiri wa maafisa wapya wa utumishi wa umma.

  • | KBC Video
    46 views

    Serikali imesitisha uajiri wa maafisa wapya wa utumishi wa umma. Waziri wa utumishi wa umma, Moses Kuria ameagiza tume ya kuajiri wafanyakazi wa umma-PSC kusimamisha mara moja shughuli yeyote ya kuajiri wafanyakazi wapya wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News