Serikali imewaondoa Wakenya 100 kutoka nchini Lebanon

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali imewaondoa Wakenya 100 kutoka nchini Lebanon kufikia sasa. Wakenya wengine wanatarajiwa kurejeshwa nyumbani wikendi hii. Kulingana na waziri wa masuala ya nchi za kigeni Musalia Mudavadi, Wakenya hao wamekuwa wakirejea katika makundi ya kati ya watu 30 na 35 huku raia 7000 wakiwa tayari wamesajiliwa kwa urejesho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive