Serikali kuendelea kuwatafuta kazi vijana ughaibuni

  • | Citizen TV
    167 views

    Wakenya wanaoishi na kufanya kazi ughaibuni walirejesha zaidi ya dola bilioni 4.9 mwaka jana, hatua ambayo ni mchango mkubwa kwa uchumi wa taifa