Serikali kufungua kituo cha uchunguzi Malindi

  • | KBC Video
    35 views

    Serikali inapania kuanzisha kituo cha uchunguzi wa dunia katika kituo cha anga cha Malindi kwa ushirikiano na shirika la anga la Italia. Akizungumza wakati wa makala ya pili ya kongamano la maonesho ya anga za juu, waziri wa ulinzi Aden Duale alitoa wito kuwepo kwa ubia baina ya mataifa ya bara Afrika kwa ujenzi wa setilaiti za uchunguzi wa dunia ili kufanikisha ufuatiliaji wa masuala ya mazingira barani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive