Serikali, wadau na kibinafsi waandaa mkutano wa wakulima Nakuru

  • | Citizen TV
    110 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Nakuru wanaofanya ukulima wa viazi, mahindi na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa hii Leo wanakutana Katika hafla ya uzinduzi wa mtambo wa kidijitali kwa ushirikiano wa wizara ya kilimo katika kaunti hiyo na shirika lisilo la kiserikali kama njia moja ya kuondoa madalali wakati wa kutafuta soko la mazao yao