Serikali ya Kajiado yapokea dawa za matibabu za Ksh.40M

  • | Citizen TV
    93 views

    Wagonjwa wanaotegema huduma za matibabu kwenye hospitali za umma katika kaunti ya Kajiado wamepata afueni baada ya wizara ya afya kwenye kaunti hiyo kupokea dawa za zaidi ya shilingi millioni 40M kutoka shirika la kusambaza dawa nchini KEMSA.