Serikali ya kaunti ya Kajiado yaajiri walimu 100 wa chekechea

  • | Citizen TV
    187 views

    Kama njia moja ya kuziba pengo la uhaba wa walimu kwenye shule za chekechea katika kaunti ya Kajiado, serikali ya kaunti hiyo imewaajiri wamilu 100 kwa mkataba wa kudumu . Hata hivyo bado kuna uhaba wa walimu ambapo serikali ya kaunti hiyo imehaidi kuendelea kuweka mikakati ya kuwaajiri walimu zaidi ili kuhakikisha kuna utoshelevu wa walimu wa chekechea.