Serikali ya kaunti ya Kajiado yafunga baa sita huko Kandisi

  • | Citizen TV
    370 views

    maafisa wa serikali ya kaunti ya kajiado wamefunga vilabu sita vya kuuzia vileo kijijini kandisi katika eneo bunge la kajiado kaskazini. Kulingana nao, vilabu hivyo vinafanya kazi kinyume cha sheria bila leseni. Wakazi wamejitokeza na kukemea ongezeko la vilabu katika eneo hilo huku wakisema pombe isiyofikia viwango vinavyostahili imesababisha vifo.