Serikali ya kaunti ya Kakamega kushirikiana na serikali ya taifa kufanikisha miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    190 views

    Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa pamoja na viongozi wa kaunti wameitaka serikali ya kitaifa kushirikiana na kaunti hiyo kutekeleza miradi muhimu ya maendeleo.