Serikali ya kaunti ya Kilifi yatia saini mkataba wa kukuza uvuvi eneo hilo

  • | Citizen TV
    102 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imetia saini mkataba wa ushirikiano na mamia ya vikundi ili kusaidia kukuza Uvuvi katika kaunti hiyo.