Serikali ya kaunti ya Lamu yahusisha vijana kwenye sanaa ili kupunguza utumizi wa mihadarati

  • | Citizen TV
    186 views

    Ili kukabiliana na visa vya mimba za mapema, na utumizi wa dawa za kulevya ambavyo vimekuwa vikishuhudiwa kaunti ya Lamu, ,serikali ya kaunti hiyo imetenga jukwaa la sanaa na michezo katika Kisiwa cha Amu ili kuwaleta pamoja vijana kwenye burudani na mafunzo ili kujiepusha na uraibu wa vileo na mihadarati. Rahma rashid anaarifu