Serikali ya kaunti ya Mandera yahimiza wakaazi kuendea kupanda miti zaidi

  • | Citizen TV
    111 views

    Serikali ya kaunti ya Mandera imeendeleza juhudi zake za kupanda miti zaidi kwa nia ya kufanya eneo hilo kuwa na mazingira bora na kubadiliaha taswira ya kaunti hiyo.