Serikali ya kaunti yatangaza kulipia gharama hospitali

  • | Citizen TV
    84 views

    Wanafunzi 33 wa shule ya Dr Aggrey katika kaunti ya Taita Taveta wanaendelea kuuguza majeraha baada ya kuhusika kwenye ajali iliyowaua watu sita wakiwemo wanafunzi wanne