Serikali ya Kenya yaomba Vietnam kusitisha kunyongwa kwa Margaret Nduta

  • | Citizen TV
    34,567 views

    Jioni hii ya leo, mwanamke mkenya anatarajiwa kunyongwa nchini Vietnam baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na ulanguzi wa dawa za kulevya. Hata hivyo, hatma yake inasubiri maafikio ya serikali ya Kenya na taifa hilo baada ya katibu wa mashauri ya kigeni Korir Sing'oei kusema imeomba hukumu dhidi ya Margaret Nduta kusitishwa. Na kama Laura Otieno anavyoarifu, serikali imetaja kesi dhidi ya Nduta kuwa ngumu