Serikali ya Kenya yatowa pongezi kwa Mwanamfalme Rahim Aga Khan V

  • | NTV Video
    115 views

    Serikali ya kenya imetoa pongezi zake kwa Mwanamfalme Rahim Aga Khan V, Imam wa 50 kwa kurithi Waislamu wa Shia Ismailia, anapochukua uongozi kufuatia kifo cha baba yake, Prince Karim Aga Khan IV.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya