Serikali ya kitaifa na za kaunti kupunguza magari ya matumizi

  • | KBC Video
    575 views

    Waziri wa fedha John Mbadi amependekeza hatua za kudhibiti matumizi ya fedha za serikali itakayowadhibiti maafisa wa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kuhusiana na idadi ya magari na aina ya magari watakayotumia. Mapendekezo hayo yaliyo katika sera ya uchukuzi ya serikali ya mwaka 2024, yananuiwa kupunguza matumizi ya fedha za serikali. Hapa ni Abdiaziz Hashim akielezea kwa kina, serikali imeratibu bajeti ya shilingi bilioni 12.2 kwa ununuzi wa magari mapya katika mwaka huu wa kifedha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive