Serikali ya Makueni yazindua mikakati wa maendeleo ya kaunti kwa kipindi cha mwaka 2024/2027

  • | NTV Video
    65 views

    Na tukisonga mbele, serikali ya kaunti ya Makueni sasa hivi inazindua Mpango wa Kimkakati pamoja na Mpango Jumuishi wa Maendeleo ya Kaunti kwa kipindi cha mwaka 2024 hadi 2027. Uzinduzi huu unaongozwa na Gavana wa kaunti hiyo, Mutula Kilonzo Junior, kwa kushirikiana na Idara ya Fedha. Mpango huu unalenga kuimarisha maendeleo na ustawi wa wananchi wa kaunti ya Makueni. Mwanahabari wetu, Kelvin Silu, yupo katika hafla hiyo. Kwasasa, tuungane naye atujuze yanayoendelea...

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya