Serikali ya Trans Nzoia yaanzisha juhudi za kuboresha utalii kwa kushirikiana na washikadau

  • | NTV Video
    46 views

    Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha juhudi za kuboresha utalii kwa kushirikiana na washikadau mbali mbali kuonyesha baadhi ya vivutio vya kitalii ambavyo havijakuwa vikiipa kaunti hiyo mapato.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya