Serikali ya Uholanzi yaitaka Kenya kumrejesha nyumbani Jacobus Brouwer

  • | KBC Video
    332 views

    Serikali ya Kenya imepokea ombi kutoka ufalme wa Uholanzi kuhusu kurejeshwa humu nchini kwa Jacobus Brouwer. Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma-DPP kupitia wakili mwenye hadhi ya juu Vincent Monda alimuarifu hakimu mkuu kwamba mshtakiwa huyo anahitajika humu nchini kutumika kifungo chake gerezani. Kwingineko,katika mahakama kuu ya Milimani’,mshukiwa mkuu katika mauaji ya wanawake wanne mtaani Eastleigh,jijini Nairoibi mwishoni mwa mwaka uliopitwa amefunguliwa mashtaka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive