- 15 viewsWagonjwa wa saratani na watetezi wa tiba bora, wanaitaka serikali ya Zimbabwe kuhakikisha kwamba vituo vya kutibu saratani vina vifaa vya kutosha kuwatibu wagonjwa. Baadhi ya wagonjwa wanasema hospitali za serikali hazina vifaa vya matibabu. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Serikali ya Zimbabwe yaombwa kutatua uhaba vifaa vya matibabu ya Saratani
- 21 Nov 2024 - The lecturers' strike has paralyzed learning across all 35 public universities and two constituent colleges 23 days since it started.
- 21 Nov 2024 - Here are some background facts on the International Criminal Court (ICC), which has issued arrest warrants for Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and his former defence chief, as well as a Hamas leader, Ibrahim Al-Masri, for alleged war crimes…
- 21 Nov 2024 - United Nations Human Rights Chief Volker Turk has called for Uganda to refrain from prosecuting civilians in military courts, citing that it contravenes the international human rights law.
- 21 Nov 2024 - President William Ruto, in his State of the Nation Address to Parliament on Thursday, prioritised the women’s agenda, specifically highlighting the delayed implementation of the two-thirds gender rule by Parliament, which he described as an act of…
- 21 Nov 2024 - President William Ruto has rebranded the Social Health Insurance Fund (SHIF) to Taifa Care; underscoring its fundamental role in providing Universal Health Coverage (UHC) to all Kenyans.
- 21 Nov 2024 - The KCB golf series finale is scheduled December 6th at Sigona Golf Club after a series of qualifying legs held across the country. During last weekend’s Leg at Ruiru Golf Club e four-ball of Tabitha Kiragu, Peter Thuku, Joseph Kamiri and Jacob Theuri…
- 21 Nov 2024 - President William Ruto has called out the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) for the repeated dropping of high-profile corruption cases due to an alleged inability to produce witnesses.
- » Ksh.3.7 billion to be disbursed tomorrow to pay 'historical debts' owed to medical facilities- President Ruto21 Nov 2024 - The government has reiterated its commitment to settle accrued debts incurred by the defunct National Health Insurance Fund (NHIF) through the new Social Health Authority.
- 21 Nov 2024 - Chelsea captain Reece James has suffered another setback after injuring a hamstring in training, Blues manager Enzo Maresca has revealed. The 24-year-old missed much of last season after undergoing hamstring surgery, which was designed to help him…
- 21 Nov 2024 - President Ruto says the model is designed to address financial instability within institutions of higher learning.