Serikali yaahidi kuchukua hatua kukomesha mgomo wa matabibu

  • | KBC Video
    69 views

    Serikali imesema iko tayari kwa mazungumzo na chama cha matabibu hapa nchini, ili kuhakikisha huduma zinatolewa bila kutatizwa. Haya yanajiri huku baraza la magavana, likiahidi kushughulikia baadhi ya malalamishi ya matabibu hao, ikiwa ni pamoja na kujumuishwa katika vituo vilivyosajiliwa kwa halmashauri ya afya ya jamii SHA. Wakati uo huo, wauguzi katika kaunti ya Lamu waliandamana wakitoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo, ishughulikie masuala yao miongoni mwayo kucheleweshwa kwa mishahara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive