Serikali yaanza ujenzi wa barabara umande laikipia mashariki

  • | Citizen TV
    869 views

    Wenyeji wa eneo la Umande Laikipia Mashariki hatimaye wamepata afueni ya muda baada ya serikali kuu kuanza ujenzi wa barabara saba zilizokuwa zimefungwa na mwekezaji mmoja wa asili ya kizungu kutokana na mgogoro wa ardhi na kuwalazimu kutembea umbali wa kilomita nyingi kufika mji wa Nanyuki.