Serikali yafunga kanisa la St. Joseph Messiah in Africa, Rongo

  • | Citizen TV
    888 views

    Kikosi cha wanasheria wa Kanisa la St Joseph Messiah in Africa kimetetea haki za waumini wao dhidi ya agizo la serikali la kulifunga kanisa hilo lenye utata huko Rongo, eneo la Opapo kaunti ya Migori