Serikali yafunga mapango ya Kimunyu baada ya mwanamke wa miaka-44 kufia kwenye mapango hayo

  • | KBC Video
    1,000 views

    Kufungwa kwa mapango ya kuabudia ya Kimunyu katika eneo la Gatundu Kusini kaunti ya Kiambu kumezua ghadhabu miongoni mwa wakazi wanaodai kuwa hatua hiyo inakiuka haki yao ya kidini na uhuru wa kuabudu. Madhabahu hayo yalifungwa na maafisa wa usalama waliosema ni hatari kwa usalama wa wakazi kufuatia kifo tatanishi cha mwanamke wa umri wa miaka-44 jumamosi iliyopita

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive