Serikali yahimizwa kutenga fedha zaidi za afya ya uzazi

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imehimizwa kutenga fedha zaidi za kufanikisha mpango wa afya ya uzazi ili kulinda maisha ya wanawake hususan wasichana wadogo. Makundi ya kutetea haki yameelezea wasiwasi kwamba mpango wa afya ya uzazi unakabiliwa na tishio na juhudi zaidi zinahitajika kushughulikia mahitaji ya makundi hafifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive