Serikali yahimizwa kutilia maanani watoto wenye mahitaji maalum

  • | KBC Video
    3 views

    Serikali imehimizwa kuhakikisha masomo ya teknolojia na sayansi, uhandisi na hisabati yanafunzwa katika shule maalum za watoto walio na ulemavu hasa wale walio na ulemavu wa kusikia ili kuhakikisha wanajumuishwa kikamilifu katika sekta ya elimu. Mwenyekiti wa chama cha watoto walio na ulemavu wa kusikia Francis Ng’ang’a amesema watoto hao wamekuwa wakipuuzwa kielimu humu nchini, jambo linalowanyima fursa ya kushindana ipasavyo na wenzao katika nyanja mbali mbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive