Serikali yahimizwa kuwaachilia vijana waandamanaji

  • | KBC Video
    8 views

    Baadhi ya wabunge wa chama cha ODM katika kaunti ya Kilifi wametoa wito wa kuwaachilia huru vijana walioshiriki kwenye maandamano ya kupinga mswada wa fedha.Wakiongozwa na kiranja wa wachache katika bunge la Seneti, Stewart Madzayo alisema vijana wana haki ya kuandamana kwa amani. Wakati huo huo, mbunge wa Malindi Amina Mnyanzi amevitaka vitengo vya usalama kuwachunguza wahalifu waliojipenyeza katika maandamano ya amani na kuzua vurugu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive